Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Kwa watumiaji wa mtandao wa Jf ama "GT" kwa jina lingine watakiri kwamba moja kati ya sifa kubwa za mtandao huu ni watu kuwa na sifa ya GT.
Sifa hii ya pekee hufanya jamiiforums kuwa na sifa ya utofauti na mitandao mingine Tanzania.
pamoja na uGT Lakini ni asilimia ndogo sana ya member wa hapa wenye sifa ya uGT,lakini ni sacbu gani hufanya uGT kuwa kama kuthania na si uhalisia :
1-Jf member wengi wamekuwa wavivu wa kusoma kwa makini thread na comment hali inayopelekea hata mtu anapo reply au kutoa comment kujikuta akipita upande wa juu wakati comment au thread imeenda kulia.
2-Jf member wamekuwa wakiongozwa na mihemko na hisia hali ipelekeayo kujivua uGT kwa kulazimika wakati mwingine kukubali jambo ambalo silo.
3-Jf member licha ya kuwa na wataalamu mbalimbali lakini bado wataalamu hao hawatumiki ipasavyo.
tazama aina za majukwa yaliyopo hapa,uhudhuriaji wa member ndipo utagundua kuwa wengi hatufahamu maana ya greatthinker (GT)
. . . . . . .subiri uwaone. . . . . . . .