JF Hard Talk "Da'Vinc"

JF Hard Talk "Da'Vinc"

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama kawaida ya kikaango kutoka JF hapa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.

Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu Da'Vinci kama guest,uliza swali lolote unalotaka kujua kutoka kwake na taaluma yake kwa ujumla.

Nb;
Tafadhari zingatia kutumia Lugha ya kistaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is Da vinci code meanin?

Sent using Jamii Forums mobile app
Habarii mkuu Adden..
Davinci Code ni Novel ikiyoandikwa na mwandishi Dan Brown mwaka 2003, inahusu Siri/mafumbo/code zilizomo kwenye michoro ya mchoraji mahiri kuwahi kuishi duniani anayeitwa Leonardo da Vinci! Japo alijitahidi kufafanua lakini bado hakuwea kabisa to uncode the code that are coded by this polymath Davinci

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Kwa nini uliamua kujiita hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini uliamua kujiita hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina sababu kadhaa..
●Napenda kua na maarifa ya vitu vingi kama huyo mwanasayansi alivyokua polymath (Polymath ni mtu mwenye uwezo/kipaji wa kufanya vitu vingi vizuri kwa asilimia 100%) kwa hiyo nami napenda nisipitwe na maarifa yoyote mapya japo angalau kwa kusoma vitu tofauti tofauti kila siku
●Nilikua naipenda sana chaneli ya Da vinci learning iliyoko Startimes, nimejifunza mengi kwenye hiyo chanel nilipokua mdogo though mpaka leo naipenda nikiwa na wasaa naitazama.
●Da Vinci ni jina zuri hata kulitamka sometimes natamani lingekua jina halisi but hata mwanangu naweza nikampatia jina hilii

Ooh asante kwa ufafanuzi
NB: Hiyo point ya mwisho mimi kama mama sitakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona kijana mdogo let's say chini ya miaka 20 anauliza habari za Jf na anataka kujiunga utamshauri nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu
Nitamsahauri ajiunge haraka ila nitataka kujua nini kimempendeza huku.. kama kavutiwa na MMU siwezi mshauri hata kidogo. Natamani vijana wote waje JF ila sio MMU

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Habarii mkuu Adden..
Davinci Code ni Novel ikiyoandikwa na mwandishi Dan Brown mwaka 2003, inahusu Siri/mafumbo/code zilizomo kwenye michoro ya mchoraji mahiri kuwahi kuishi duniani anayeitwa Leonardo da Vinci! Japo alijitahidi kufafanua lakini bado hakuwea kabisa to uncode the code that are coded by this polymath Davinci

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Unaweza kukiweka hapa hicho kitabu japo tutoe tongotongo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye simu yako una applications gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki niongee sana ila hizi ndio nilizozipakua na ninazozitumia sana..
960008d7a83baa2b78230884befa15e1.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom