Habarii mkuu Adden..
Kwa nini uliamua kujiita hivyoHabarii mkuu Adden..
Davinci Code ni Novel ikiyoandikwa na mwandishi Dan Brown mwaka 2003, inahusu Siri/mafumbo/code zilizomo kwenye michoro ya mchoraji mahiri kuwahi kuishi duniani anayeitwa Leonardo da Vinci! Japo alijitahidi kufafanua lakini bado hakuwea kabisa to uncode the code that are coded by this polymath Davinci
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nina sababu kadhaa..
Ooh asante kwa ufafanuziNina sababu kadhaa..
●Napenda kua na maarifa ya vitu vingi kama huyo mwanasayansi alivyokua polymath (Polymath ni mtu mwenye uwezo/kipaji wa kufanya vitu vingi vizuri kwa asilimia 100%) kwa hiyo nami napenda nisipitwe na maarifa yoyote mapya japo angalau kwa kusoma vitu tofauti tofauti kila siku
●Nilikua naipenda sana chaneli ya Da vinci learning iliyoko Startimes, nimejifunza mengi kwenye hiyo chanel nilipokua mdogo though mpaka leo naipenda nikiwa na wasaa naitazama.
●Da Vinci ni jina zuri hata kulitamka sometimes natamani lingekua jina halisi but hata mwanangu naweza nikampatia jina hilii
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kwakweli mpenzi itabidi uvumilie tu maana ni jina nalolipenda sana ukizingatia jina hili/ID hii inamchango mkubwa katika maisha yangu halisi[emoji27]Ooh asante kwa ufafanuzi
NB: Hiyo point ya mwisho mimi kama mama sitakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakubali. Anyway tuendelee na hadi tokuKwakweli mpenzi itabidi uvumilie tu maana ni jina nalolipenda sana ukizingatia jina hili/ID hii inamchango mkubwa katika maisha yangu halisi[emoji27]
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ahsante
MkuuUkiona kijana mdogo let's say chini ya miaka 20 anauliza habari za Jf na anataka kujiunga utamshauri nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza kutunyanyapaa wana MMU[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu
Nitamsahauri ajiunge haraka ila nitataka kujua nini kimempendeza huku.. kama kavutiwa na MMU siwezi mshauri hata kidogo. Natamani vijana wote waje JF ila sio MMU
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Siwanyanyapai ila nasema mawazo yangu kutokana na ninavyoiona MMU.
Unaweza kukiweka hapa hicho kitabu japo tutoe tongotongo??Habarii mkuu Adden..
Davinci Code ni Novel ikiyoandikwa na mwandishi Dan Brown mwaka 2003, inahusu Siri/mafumbo/code zilizomo kwenye michoro ya mchoraji mahiri kuwahi kuishi duniani anayeitwa Leonardo da Vinci! Japo alijitahidi kufafanua lakini bado hakuwea kabisa to uncode the code that are coded by this polymath Davinci
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sitaki niongee sana ila hizi ndio nilizozipakua na ninazozitumia sana..