JF Hard Talk "FaizaFoxy"

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama kawaidaHapa tutakuwa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.

Kwa leo tutakuwa na Ndugu yetu FaizaFoxy kama guest,uliza swali lolote unalotaka kujua kutoka kwake na taaluma yake kwa ujumla.

Nb;
Tafadhari zingatia kutumia Lugha ya kistaarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka kujua umri wa mama angu kipenzi faizaly

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja katika vitu ninavyohisi ni ubaguzi ni hilo la kuulizana umri. Unataka kunibagua kwa umri wangu?

Kwa ufupi, chukulia kuwa nilikuwepo kabla ya awamu ya kwanza. Alhamdulillah nimeziishi awamu zote tano baada ya Uhuru na Malkia wa Kiingereza alishakuwa Malkia wangu na nnamuheshimu.
 
Am still on research uncle Dada & your contribution on page is welcome, let's work for betterment of our continent Africa.
 
Umejibu vzr, pia nimejua kuwa kweli wewe ni mama etu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu yako mama/bibi, pili umeolewa? kama ndio wewe ni mke wa ngapi kwa mmeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa elimu yangu haina umuhimu kwani nimejifunza kuwa kuelimika si kwenda shule pekee. Nimeona wengi wameenda shule kusomea ujinga.

Sijaolewa. Nimeoana na mume wangu. Mpaka sasa nafahamu ni mimi tu niliyeoana nae.
 
Wewe ni kati ya members wenye uelewa mkubwa wa mambo ya kidini na kidunia pia (kwa mtazamo wangu).

Pia umekuwa moja ya watu ambao wako vocal katika kutetea dini yako bila kujificha.

Swali:
Kumekuwa na malalamiko katika vipindi kadhaa vya nyuma kwamba NECTA inawafelisha mitihani baadhi ya watoto wa kiislamu, nini mtazamo wako juu ya hili?
 
Hilo ni kweli kabisa. Ilifikia mpaka Waislam kupunguziwa points zao wakati Ndalichako alipokuwa mkuu wa mitihani. Waislam mpaka wakaingia mitaani kuandamana mpaka Ndalichako akaachia ngazi.

Magufuli alipoingia madarakani akatuzaba Waislam kofi la kikelb kwa kumrudisha wizara hiyohiyo na kumfanya Ndalichako awe waziri wa elimu. Hatari.
 
Una mtazamo gani juu ya Raisi wetu mpendwa wa JMT ndugu JPM unafikiri ni chaguo lililokuja katika kwa wakati sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…