DJ SEPETU hii fani yako uliyoikimbia
Vocal zinatoka wapi?
T akeeeeeeeeeeeeee a.k.a le akili kubwazzzz
Pacha, hivi ilikuwa lazima utaje kabila [emoji47][emoji47] anyways nimekumissNalendwa umeolewa? Mfano umepewa choice ya wanaume wawili, mmoja billionaire wa Kikinga shule-less mwingine intelligent highly educated man (kama Malcom Lumumba ) living a modest life,utachagua yupi?
Ushaolewa? Hapana kwaniniT ake bwana sio kwa kuniweka kikaangoni hivi...LOL!
Anakuja endelea kuuliza.
Embu njoo utujibu maswali yetu jamaniT ake bwana sio kwa kuniweka kikaangoni hivi...LOL!
Akija utaniita Ney.Embu njoo utujibu maswali yetu jamani
Usijali kabisa DabyAkija utaniita Ney.
Nahisi swali langu lilimkimbiza ngoja aje nimpige maswali ya ballistic missile defence za EU zinamuathiri vipi Russia?Pacha, hivi ilikuwa lazima utaje kabila [emoji47][emoji47] anyways nimekumiss
Sent using Jamii Forums mobile app