Embu njoo utujibu maswali yetu jamani
Alafu ujue minakuangalia tu unavyo ng'ata kucha....Mh!, umetokea leo...lol
Mie nahisi nitawa bore tu hapa my dear.
Mtu mwenyewe wa kuingia na kutoka masaa ya ajabu. Huyu mleta Uzi naona hakujipanga vizuri na hii thread yake.
Ndio....Like Seriously! π
Anakuja endelea kuuliza.
Nipo nimekuhamu zaidi. Nani anakuficha?mekuhamu upo
Nipo nimekuhamu zaidi. Nani anakuficha?
Kwani magufuli yupo hadi kule kwenu? Kuuulee.kikubwa kinachonificha ni njaa ndugu maguful alishasema tuchape kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
siwajua njaa haina ugeni ht kule yupoo nimecheka eti kuuuleeeKwani magufuli yupo hadi kule kwenu? Kuuulee.