Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Hapa tutakuwa tunamkaanga member mmoja kila siku maswali ya kistaarabu na majibu ya kiprofessional Zaidi.
Kwa leo Nitakuwa mwenyewe Zero IQ ila kuanzia kesho atawekwa member mmoja kwa kupata access yake kutoka PM ya kuombwa kuja kukaangwa hapa (JF Hard Talk).
Uliza swali lolote linalokutatiza kuhusu Zero IQ na atakujibu hapa mubashara
NB:
Uzi utakuwa updated kila siku.
Cc zero IQ.
Sent using Jamii Forums mobile app