Kazi na utu bwasheeKuna mtu unataka kumuingiza kingi
Kwenye party lazima uwepoKabisa ba mkali!βΊοΈ
Ndiyo mwake mwake ukiitwa tuu unatoka km mshale No skuna hapo.Say no more mamaake, utanilaza na viatuπ€Έπ½ββοΈ
Usiniache nyuma aiseeπ«’Kwenye party lazima uwepo
Oyaa! Yani utanikuta nimekamilika! Sichekeshi πNdiyo mwake mwake ukiitwa tuu unatoka km mshale No skuna hapo.
Itabidi uwepo kuyashuhudia hayoππHouseparty nasikia mnawekana live, au ni ushamba wangu?
Wewe nitakuweka kwenye kamati ya maandaliziUsiniache nyuma aiseeπ«’
Ndiyo maanake ma mtu, December to remember kaziiii ipoooo. Siyo Ba mtu kanipiga pini teh teh teh.Oyaa! Yani utanikuta nimekamilika! Sichekeshi π
Amani ipoKirahisi rahisi tu ufunge safari kwenda kwenye sherehe ambayo huwajui waandaaji wala malengo yake,...kiingilio bure ila uwe na laki 5 mfukoni., ***** kinaenda kutokea nini humo ndani Mkuu...?
Tena!πWewe nitakuweka kwenye kamati ya maandalizi
Ni full kuchunguliana, are you ready for that?π πOyaa! Yani utanikuta nimekamilika! Sichekeshi π
Aisee akae kushoto zama za high season tunakuwa huru tuπNdiyo maanake ma mtu, December to remember kaziiii ipoooo. Siyo Ba mtu kanipiga pini teh teh teh.
Mimi sitaki kuchungulia vitu ambavyo nishaviona! Au kuna mpya huko?Ni full kuchunguliana, are you ready for that?π π
Mkuu,Itabidi uwepo kuyashuhudia hayoππ
Umeona umeanza kuruka, kwanini lakini pokea mamlaka mamtu bwana.Tena!π
Unataka vipya? Kipepe atakuwa na vipyaπ πMimi sitaki kuchungulia vitu ambavyo nishaviona! Au kuna mpya huko?
Siyo ktkt ya vibwanga unaguswa bega ma mtu unaitwa kona ilee,,,kuja kucheki huyo si alikuwa Dom mchana.Aisee akae kushoto zama za high season tunakuwa huru tuπ
We jamaaAmani ipo
Aisee! Ni mtafutano!π€£πSiyo ktkt ya vibwanga unaguswa bega ma mtu unaitwa kona ilee,,,kuja kucheki huyo si alikuwa Dom mchana.