JF Hustlers pita hapa kabla ya kuanza mishemishe za siku na baada ya kumaliza..

Kumekucha Mahustlers,, Ni wiki nyingine tena tumeingia mapambano inabdi yaendelee tena Jah akabless mishemishe zetu zote za siku ya Leo na wiki nzma..[emoji123][emoji123]
 
Kila la kheri wapambanaji wa JF kwny siku ya kwanza ya utafutaji ndani ya 2024,, Mwaka ukawe wa kheri huu kwetu[emoji123][emoji123]
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia zaidi ya 85 humu ni Hustlers lakini hawataki kuja kuchangia huu uzi. Wapo kwenye Kula Kimasihara tu.
All Hustlers, tupambane sana bila kuchoka
 
To all hustlers.......keep what you get.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…