duh nimebaki naduwaa.....huyo dada amejuaje kuwa unataka kuanzisha mahusiano na huyo kaka mpaka akufuate???.......lol pole lakini....mie nahisi ungemtaja humu tumjue...NAME AND SHAME HIM????????????????........kazi kuvizia tu humu hana haya loh,ukute kashawadanganya kibao kwa gia ya ndoa....mmmmmmnh......
Naky jamani pole... Hilo lijamaa ungelianika hapa tulisute..
Kongosho mambo?
Nimeota umenletea zawadi nikaogopa kuifungua sijui bomu!
Siku hizi mambo fast a fast a bana,si unajua tena ukimfuatilia sana nyuki asali huli?Mtandao ni sehemu ya kukutana tu kama barabarani,
huwezi kuanzisha mahusiano kwa kupitia mtandao.
Lazima mvuke mtandao na mjuane katika maisha ya kawaida kwa muda kwanza
alafu ndio uamue kuanza mahusiano ya kimapenzi.
pole weee
But sometimes it works,ni50/50mmh pole dada, yan nawe ukawa serious kabisa na mapenzi ya mtandaoni aisee! me najua leisure tu basi kumbe ppo zinafanya kweli.
usirudie tena mpenzi, haya mapenzi ya mtandaoni hakunaga yan! or you move in with caution yan dah!
NEVER TRUST A STRANGER MUMIE!
Pole!!!!!!!!
sawa but ni very rarely yan! probability ni 0.001 uko! ss huoni chances za kusucced ni ndogo hapo!But sometimes it works,ni50/50
Ole wako uje uniumbue na ule mtongozo nlokupiga juzi.....😛hoto:Sijui kwa nini huwa wanawaficha, ningekuwa mie ningeanza kwa mistari ya kumchana kwanza halafu mwishoni ndo natoa tahadhali!! Loh....pole yake mdada!
pole sana. wewe ni bikra?. hivi unaamin hadi sasa kuna mtu yupo single? wewe hujajua, sisi wavulana tunakuwa na wasichana wa aina tofauti.
1.wa kutoka nae (nyumba ndogo)
2.Wa kuishi nae (mke)
anaweza akawa na msichana lakini hana sifa ya kuwa mke so unamtumia kuondolea nyeg..tu.
Unapokua kwenye mapenzi sikiliza moyo wako sio maneno ya watu. na huyo msichana anaziba riziki tu hapendwi wala nini. siku zote wasichana mnawekeana kauzibe. amin jf ndo kuna wapenzi wa ukweli.punguza hasira yataisha hayo. ova
Sijui kwa nini huwa wanawaficha, ningekuwa mie ningeanza kwa mistari ya kumchana kwanza halafu mwishoni ndo natoa tahadhali!! Loh....pole yake mdada!
Utakuwa tayari umesha megwa unajibalaguza tu hapa.
Hustahili hata pole
Du!ulaji nje nje,huwezi kutukana sisi na mama yetu hazaran!!!Nakadori unajua hata mimi sijaoa na sina mtoto wa nje ya ndoa, na ningependa nilete posa ili nikuwowe uwe mke wangu wa ndoa..................... LOL
Najua wanoko wataniharibia kwa Naka wangu.