Vipi tena mbn umekuwa mkali kwa binti wa watu.
Au ww ndo tapeli mwenyewe,
unajihami kwa kuanza kumshambulia binti.
msichana ukishamchoma na kumuacha anakuwa mkali huyo dah!. atakusema hadi ujute kwanini umemchoma. utasikia ooh..umeniharibia maisha, kumbe maisha yaliharibika kabla hata hamjaonana. mapenzi si mchezo aisee. unaweza ukafa au ukawa tahila. mi ndo maana huwa sitongozi.
Mama kiu ya ndoa mama. unaweza kujikuta unaparamamia gume gume lililoshindikana na mitume yote. umakini unahitajika
Pole sana mwaya,Wakuu, heshima mbele,
Najuta sana kumtafuta partner humu JF yani pamejaa usanii hapa usipokuwa mjanja kama mimi unalizwa hivi hivi unajiona.
Kipindi kile nilikuja na swala la kutafuta mchumba hapa, kweli huyo aliyejidai mchumba alipatikana bada ya kuchuja chuja na kufanya trial and error. kumbe mchumba hakuwa mchumba bali tapeli wa mapenzi tu. mkasa ulikuwa hivi....... jamaa alisema yuko single na mara ya mwisho kuwa na msichana ni mwaka mmoja uliopita.baada ya kuchat sana kupitia mtandao huu wa JF na email ilibidi tupeane mawasiliano ya simu, na majina ya facebook account. Ukweli mawasiliano yalikuwa hot sana. Simu zilikuwa hazikauki, meseji ndo dahhh siwezi sema, kutwa kuchwa ni kuchat na kupena meseji za mahaba. Ila kwenye facebook friend list yake ilikuwa imefungwa huwezi ona nani ni rafiki yake na huwezi post kwenye wall yake pia.
Basi, sisi tukiwa kwenye mapenzi motomoto na kuliwazana (ila sikuwa mwepesi kutoa tundi ndio ninachoshukuru na kujivunia) kumbe jamaa ana girlfriend wake wa long mie sikujua, basi siku moja niliona friend request ya mdada mmoja hata simjui ameni-add mie bila hiyana kabla ya kumu-accept nikawa natumiana nae inbox kujua ni nani na ni wawapi.....bi dada akaniambia nimuadd kwa faida yangu, ila akawa anadadisi sana kuhusu mahusiano yangu ya kimapenzi, sikuwa muwazi sana hadi aliponitajia jina la facebook la huyu kiumbe tulokutana JF. Huyu binti alisema yeye na huyu fisadi wa mapenzi ni wachumba wa long time ila yeye anafanya kazi mkoani huwa anakuja dsm mara chache sana. Nilimuuliza kuhusu uthibitisho ili niamini maneno yake then alinitumia hadi ushahidi wa pics ambazo sio za kawaida yani za mitego mitego ya kimapenzi zinazoonesha wako na mahusiano live (picha zilionesha hata dates za muda wa karibuni), kuforwad emails za huyu kiumbe wanazotumiana kila leo za kimapenzi n.k.
Ukweli baada ya hayo yote hasira zilinipanda ila nikazituliza nikapata ujasiri wa kumuomba kijana anipishe tugawane ustaarabu. kijana alisita huku akisistiza nimwambie why, mie nikamwambia nimeona siwezi match nae, yeye akawa anasisitiza bado ni mapema mie ku conclude hivyo. Nilipoona anasisitiza nikamwambia live kwamba ana msichana mwingine hivyo ni bora nimpe nafasi ili apumue vizuri! Kijana alibisha hadi leo hii.., pamoja na kumforwadia emails zake lakini wapi bado anakataa.
Hili tukio nimeona nililete ili kuwaasa wasichana wenzangu na hata kaka zangu ambao nao wako kwenye process ya kuisaka ndoa wawe makini sana. mimi kwa hili naweza sema ni Mungu ameniokoa kwani nilikuwa ninaelekea mbali na kuzamia kabisa! huwa nimefikiria ilikuwaje huyu dada akanijua kupitia facebook? au alipewa password na hyu kaka? hapana Mungu aliamua kunionesha na kuniokoa.
Wanawake wenzangu na kaka zangu tumuombe sana Mungu ili atupatie wanaume na wanawake wa ukweli na sio matapeli.
Mbarkiwe sana.
jinenee nafsi yako,wanaume wengine hawako unavyodhania wewe,akitoka toka na mkeo,ndo nyie mnaogongesha wasichana.
Heshimu mkeo.
mkuu mimi sijaoa ila naona nyie mlio oa mnavyo fanya. wanaume wengine ambao sio wa kibongo ndo labda hawapo hivyo. wanaume matapeli wa mapenzi tu. ukubali ukatae. hadi aje kuoa utakuta amemwaga wanawake kama 20 hivi. kwani siri.
4. Ndoa haisakwi, ndoa inakuja yenyewe tu automatically bila kutumia energy nyingi.
Pole sana nakumbuka bandiko lako la kutafuta mchumba. Labda niseme na wewe una makosa nasema hivyo kwasababu gani.
1. Inaonekana you were too desparate kutafuta huyo mchumba ndio maana umekutana na haya ungejitahidi kuchukua muda wa kufahamiana nje ya JF (masiha halisi) nafikiri kuna baadhi ya vitu ungevigundua kuhusu huyo mtu.
2. Mimi nilitegemea baada ya kuwasiliana na kuchat mngeweza kuonana physically badala ya kuanza kupeana emails na facebook account kama mtu yuko serious na wewe hawezi kuanza kukupa facebook account yake there's more than that sasa wewe kama uliacha kuuliza mambo ya msingi ukaenda kuuliza facebook account bila hata ya kuonana na mtu face to face sababu hata bila facebook still angekudanganya tu.
3. Hakuchukua muda wa kutosha kumfahamu nje ya JF na ninaposema kumfahamu nje ya JF nadhani unanielewa i believe kwenye mtandao people start as friends and get to know each other vizuri kama ana nia nzuri na wewe lazima atahitaji kujua maisha yako nje ya JF eg..What do you do, where do you live, what kind of life do you live, your family na mengineyo.
4. Ndoa haisakwi, ndoa inakuja yenyewe tu automatically bila kutumia energy nyingi.
Kudos mkuu umeongeza mambo ya msingi sana..😛oa😛oaTF kwa kweli umenena vyema kwani asilimia kubwa ya mahusiano ya sasa wegi hawafuatilii vitu muhimu ambavyo vinasaidia katika maisha ya kila siku .. mfano kwa sasa mtu anaangalia unawasiliana na wakina nani na unafanya nini kuliko kuangalia wewe ukoje kitabia na mwenendo, maisha yako yakoje , umetoka ktk familia yako, mahusiano yako na watu wengine yakoje nk
pia ndoa haitafutwi wala kushinikizwa bali huridhiana kutoka na na mambo mengi zaidi ya facebook, twiter, jf etc
Najuta sana kumtafuta partner humu JF yani pamejaa usanii hapa usipokuwa mjanja kama mimi unalizwa hivi hivi unajiona. .
pia ndoa haitafutwi wala kushinikizwa bali huridhiana kutoka na na mambo mengi zaidi ya facebook, twiter, jf etc
si umesema hujatoa tunda? sasa woga wa nini?FF ninaomba link ya hicho kisa nami nikisome?
Wakuu, heshima mbele,