Hapa mkuu umenena kuna kesi nyingi binti analengesha apate mimba ili umuoe na ni wazi umemwambia mtu mcheze kidalipo pasipo kuja kuishi pamoja sasa mtu analengesha mimba na kushinikiza umuoe
Utakuwa tayari umesha megwa unajibalaguza tu hapa.
Hustahili hata pole
duh nimebaki naduwaa.....huyo dada amejuaje kuwa unataka kuanzisha mahusiano na huyo kaka mpaka akufuate???.......lol pole lakini....mie nahisi ungemtaja humu tumjue...NAME AND SHAME HIM????????????????........kazi kuvizia tu humu hana haya loh,ukute kashawadanganya kibao kwa gia ya ndoa....mmmmmmnh......
si umesema hujatoa tunda? sasa woga wa nini?
Wasio wakweli wapo mahali pengi ,si Jf tu.Kimsingi hukufanya uchunguzi vizuri kama kumjua vizuri,anaishi wapi,tabia yake,ndugu na jamaa wa karibu n.k.Hukufanya hayo unajua kwa nini? Ni g/f wa huyo jamaa ndiye aliekushtua la sivyo ungekamatwa tu.
Niulize huyo ex wako ni: Ni Member,senior member, senior expert member au premium member? kuna ka-utafiti kadogo nafanya!

Una uhakika hakufanya hivyo? kitendo cha kukaa muda wote huo bila kuduu ndo walikuwa wanasomana hivyo au wewe ulitaka amsome vipi?lakini pia angejuaje kama ana mtu wakati msichana wake yuko mkoani na huenda kila wakikutana hakuna kitu cha kumtia wasiwasi?.Ngoja tumsubiri mwenyewe aje ajibu,
Amesema mwenyewe "walikuwa kwenye mapenzi motomoto na kuliwazana" kwa hiyo walikuwa kwenye mahusiano,au kwako tafsiri ya watu kuwa kwenye mapenzi ni ngono?
Hebu pata hii; anakuja rafiki yako anakutambulisha kwa mtu anaemwita mpenzi wake.Kwako itakupa picha kwamba tayari walisha-do? Au kama akikwambia kuna jamaa ame-do nae,hiyo itakupa picha kwamba tayari ni wapenzi?
Pole Nakadori, mitandao hasa hii ya kijamii haifai, hebu cheki hii video Clip uone jamaa alivyokutana na Jini mtandaoni
Huwa najiuliza, inakuwaje mtu unafikia kumwita mwenzio tapeli wa mapenzi, au fake etc.
Kama mmeshindwana move on na urekebishe makosa yako mwenyewe ndio yaliyokupelekea kupata mpenzi ndie siye.
Let us be responsible for our own mistakes.