dah waisilamu sieee tunavoonewa, mtu ukiwa nje ya udom utaamini haya maneno em njoo udom ukae kidogo ndo utapata ukweli, cencus inaonyesha kuna waisilamu 1500 kati ya wanafunzi zaidi ya elf 10 halafu twaambiwa kuna udini, kama kuna mwanafunz wa udom humu wa kozi yoyote ajitaje then aseme katika course yake ana lecture wangap waisilamu na wangap wakristo maana mi katika course sita nafundishwa na muislamu mmoja, kama mtakua na kumbukumbu kuna mtu alipost orodha ya wafanyakazi wa college ya informatics humu jf, ipo mnaweza kuisearch 90 asilimia ni wakristo nashangaa huo udini upo wapi, tenda za cafeteria hapa ss udom moja tu ndo kapewa muislam same kwenye maduka, hebu anaesema kuna udini udom atoe evidence na sio kutupaka matope waislamu wa udom kumbe hatuna makosa na kama nimeongea uwongo nirekebishen