M mshingantahe Member Joined Aug 11, 2011 Posts 6 Reaction score 0 Jul 25, 2012 #41 Hongera na hasa kwa record keeping nadhani na wengine tutaiga maana inafikia wakati unaitwa kwa interview hukumbuki hata uliomba kazi gani unaishia kuonekana mbabaishaji
Hongera na hasa kwa record keeping nadhani na wengine tutaiga maana inafikia wakati unaitwa kwa interview hukumbuki hata uliomba kazi gani unaishia kuonekana mbabaishaji
Baba Mtu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2008 Posts 870 Reaction score 170 Jul 26, 2012 #42 Ndechumia said: Naomba mniombee niweze kufanya hii kazi vizuri, niweze kuproduce kinachotegemewa na mwanajiri wangu. asanteni sana. Click to expand... Inshallah Mola akufanyie wepesi katika kazi yako mpya. Na pia Mola akuepushe na roho ya kifisadi, amin.
Ndechumia said: Naomba mniombee niweze kufanya hii kazi vizuri, niweze kuproduce kinachotegemewa na mwanajiri wangu. asanteni sana. Click to expand... Inshallah Mola akufanyie wepesi katika kazi yako mpya. Na pia Mola akuepushe na roho ya kifisadi, amin.