Za Mchana Wadau Naona Ka mvua Kananyesha Dar Kidogo.Jamani Muda Mwingi Napunguza Ma Stress Kwa Kuingia Jf Yeye Anachukia Nikiwa Jf Nifanyeje Nami Siwezi Acha Kuingia Jf?
Wanawake wataka wao ndio wawe incharge of ur happiness. Akiona unafuraha au watabasamu na hilo tabasamu hajakupa yeye jua tu hakutakuwa na.amani. she is jelous why JF inakupa faraja and not her.
Hata siku akikukuta unapiga puli hatamind kuwa wapiga puli hata kama alikuwa hana.mpango wa kusex na wewe but atamind kuwa u r.making urself happy while yeye ndio incharge wa happiness in ur life.
Solution sio kumuunga yeye humu hapana.
Just muonyeshe kwamba she is the one but sio ndio utaacha JF no make sure hauingii akiwa karibu yako na akakuona.
Za Mchana Wadau Naona Ka mvua Kananyesha Dar Kidogo.Jamani Muda Mwingi Napunguza Ma Stress Kwa Kuingia Jf Yeye Anachukia Nikiwa Jf Nifanyeje Nami Siwezi Acha Kuingia Jf?
Chukua ama Simu yako au Laptop yako na hakikisha pale unapokuwa una log in JF basi kati hiyo Simu au Laptop yako kimoja wapo unakuwa umekiweka ama mkabala / jirani na Mbunye yake au hapo kwa juu njia panda ya kuelekea Mbunyeni Kwake ( Kitovuni ) ili uwe unamtekenya huku Wewe unaperuzi tu humu. Nina uhakika ukimfanyia hivi hutoona malalamiko yake tena Mkuu na kama hutojali nitaomba unipatie pia mrejesho juu ya hili tafadhali.
Huenda umemkataza kumiliki smart phone, kama anamiliki hiyo simu mshawishi na yeye ajiunge humu.
Baada ya muda akishajiunga utaanza kuona repulsion force ikijengeka taratibu ambayo itakufanya uwe huru lakini ni hatari kwa afya yako(weka mbali na mkeo).
Ukifanikiwa kutokana na ushauri wetu ulete mrejesho hapa.
Mke awe na nafasi yake na jf iwe na muda wake. Kuna muda wa kukaa na kupeana mawili matatu ya maisha. Hii mitandao ipo tuu, tenga muda wa kutumia na familia yako.