Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Kama JF ingekuwa kama YouTube ili kuvutia wasomaji hivi ndivyo nyuzi zingesomeka.
1- Zulu man with some power na miminimkulimaakachekasana waomba kufupishwa majina yao.
2- beaf la Bujibuji na The Icebreaker laingiliwa na ndege JOHN
3- Mshana Jr akutwa na ungo kwenye nyumba ya SHIMBA YA BUYENZE
4- Duduke afanya kolabo na kasomi
5- Smart911 aachana na mahondaw
6- BAK azua gumzo kwenye nyuzi ya vituko mitandaoni
7- rikiboy asema atafute Uzi wake wa kula tunda kwa masihara
8- Infantry Soldier akamatwa akidukua nyuzi za Kiduku
9- MAMA B afumaniwa na Enstein
10- JF yasema itafuta Nyuzi za gb1
Yaani JF ingekuwa kama YouTube tungehangaika sana.