bitebo7
JF-Expert Member
- May 1, 2015
- 858
- 597
Habari zenu ndugu zangu wa JF,
Kama tunavyojua umu JF wengi tunatumia ID fake na niwachache sana wanaofahamiana ndani na nje ya JF.Unaweza kuta mtu unamfahamu nje ya JF, lakini ndani ya JF usimfahamu uyu ni nani? Na yeye asikufahamu wewe ni nani?
Baazi ya member wa JF, wakifahamika kwa namna moja ama nyingine upelekea kuchange ID zao, ili mradi tu waendelee kuvuruga pale anapojiskia kwa sababu anakua huru kuongea anachojiskia tofauti akiwa anafahamika.
Hapa ndipo nilipogundua kua bila ya ID zetu fake JF isingenoga kabisa.Tungejuana majina humu tungeoneana aibu na tusingeambiana ukweli na mengi mengineyo.
Naomba nitoe shukran zangu za dhati kwa aliegundua ID fake,maana ametustili na mengi umu!