JF itatoka kifungoni lini nimechoshwa na VPN

Sidhani km itafunguliwa, maana member`s wa JF ndo wanaongoza ktk lile swala la kumpandisha bi frog BP.
 
Thubutuuu!!!!
Sahau JF kufunguliwa labda kuanzia mwakani mwezi wa 6
 
Nchi imeshikwa na wanaojua namna ya utawala bora so mtachagua wenyewe ni kipi na lipi la kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…