JF iungwe kwenye bundle kama whatsapp na facebook

Sara taylor

Member
Joined
Jun 2, 2016
Posts
26
Reaction score
10
huwa naona kwa mitandao ya simu kwamba kunda bando ambalo ukijiunga unapata whatsapp na facebook bure kama wiki ama mwezi,nilikua nauliza kwanini JF na yenyewe isiweze kuungwa humo,ili kurahisisha zaidi mawasiliano yetu ukizingatia hii ya kinyumbani zaidi.....wataalamu naombeni msaada wenu hapa
 
Ukimia free data jf pia ni bure
 
Back
Top Bottom