huwa naona kwa mitandao ya simu kwamba kunda bando ambalo ukijiunga unapata whatsapp na facebook bure kama wiki ama mwezi,nilikua nauliza kwanini JF na yenyewe isiweze kuungwa humo,ili kurahisisha zaidi mawasiliano yetu ukizingatia hii ya kinyumbani zaidi.....wataalamu naombeni msaada wenu hapa