LGE2024 JF kama familia moja muhimu na ya maana sana, my friends, ladies and gentlemen, sote tukajiandikishe bila kukosa, kwa mustakabali mwema wa taifa letu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Sawa kabisa Watanzania tayari Ml 60 wamejiandikisha kupiga kura. Nafikiri mpaka zoezi liishe watakuwa wamefikia ml 90. Nchi ya vichekesho, Only in Tz!!
Na ni vema ikafahamika wazi hamasa na spirit ya waTanzania hii hii waliyo onyesha kwenye uandikishaji ndivyo pia itakua katika zoezi la kupiga kura..

well done millions of patriotic Tanzanians๐Ÿ‘Š
 
Ccm endeleeni kuiba
 
Usisahau kuwahimiza na wale wanao washule kujiandikisha.
Kongole nyingi sana kwa walimu, wasimamizi wa shule na vyuo kwakuwapa fursa na nafasi muhimu sana wanafunzi ambao wametimiza sifa, vigezo na masharti ya kikatiba ya kua na haki ya kujiandikisha na hatimae kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa Nov 27,2024..

Hayo ni mapenzi na uzalendo wa kiwango cha juu sana..

well done walimu,
well done wanafunzi ๐Ÿ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ