Jf katika taasisi za elimu

Joined
Jan 13, 2011
Posts
37
Reaction score
10
Wanajamvi nafikiria njia gani nzuri tunaweza itumia ili kupeleka ushawishi kwa wasomi walioko shule na vyuo kujiunga na kuutumia huu uwanja wa jf ili kupata taarifa.
Nawasilisha.
 
Wanajamvi nafikiria njia gani nzuri tunaweza itumia ili kupeleka ushawishi kwa wasomi walioko shule na vyuo kujiunga na kuutumia huu uwanja wa jf ili kupata taarifa.
Nawasilisha.
Mbona tayari JF inao members kibao huko mavyuoni?
 
Yeah, jf is where thoughts feel at liberty. Liberty of thought is the life of the soul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…