JF Kibaha wing: Tufahamiane na kutambuana hapa

JF Kibaha wing: Tufahamiane na kutambuana hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Its so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana.

Mimi ni mkazi wa Msata kilingeni lakini muda mwingi huwa niko Mlandizi na Kibaha... Hebu tutoeni hofu tufahamiane kuna mengi ya kushirikishana.

Jr[emoji769]
 
Its so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana...
Mimi ni mkazi wa Msata kilingeni lakini muda mwingi huwa niko Mlandizi na Kibaha... Hebu tutoeni hofu tufahamiane kuna mengi ya kushirikishana.

Jr[emoji769]
Kibaha K/mathias, karibu forest tugonge mdudu [emoji241][emoji241] tunamalizia malizia idd 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hunipati kirahisi hivyo[emoji3][emoji3]
FB_IMG_1589446037083.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana...
Mimi ni mkazi wa Msata kilingeni lakini muda mwingi huwa niko Mlandizi na Kibaha... Hebu tutoeni hofu tufahamiane kuna mengi ya kushirikishana.

Jr[emoji769]
Tupo..... Tunakuja kushiriki kongamano la kufahamiana
 
Kuweni makini tu tusije anzisha uzi zinazoanza "JAMANI MSAADA..."😂
au "ANAEMJUA MGANGA NGULI WA KUROGA WEKA HAPA MAWASILIANO YAKE,KUNA PIMBI NATAKA IKOMESHA"😂😂

mi natoa tahadhari tu.. bila kusahau na "KULA KIMASIHARA KULIVYO..."
 
Back
Top Bottom