Kibaha K/mathias, karibu forest tugonge mdudu [emoji241][emoji241] tunamalizia malizia idd 2Its so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana...
Mimi ni mkazi wa Msata kilingeni lakini muda mwingi huwa niko Mlandizi na Kibaha... Hebu tutoeni hofu tufahamiane kuna mengi ya kushirikishana.
Jr[emoji769]
Duu niko Msangani ngoja nicheki kama nitawahiKibaha K/mathias, karibu forest tugonge mdudu [emoji241][emoji241] tunamalizia malizia idd 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio umepita hapa maeneo ya juhudi umebakiwa kwenye bodaboda [emoji3][emoji3]Duu niko Msangani ngoja nicheki kama nitawahi
Jr[emoji769]
Tupo..... Tunakuja kushiriki kongamano la kufahamianaIts so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana...
Mimi ni mkazi wa Msata kilingeni lakini muda mwingi huwa niko Mlandizi na Kibaha... Hebu tutoeni hofu tufahamiane kuna mengi ya kushirikishana.
Jr[emoji769]
Bebe J...u are missed πMpenzi msomaji hapa
AiseeDawa yao unakuwa snitch kuliko wao...
Jr[emoji769]