ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Wakati tukijaribu kukikuza kiswahili chetu kwa kuongea na kuandika, na wakati kimataifa lugha rasmi ya Tanzania ni Kiingereza na Kiswahili, je, ipo haja ya kutumia lugha moja kati ya Kiingereza au Kishwahili kuliko kuchanganya changaya lugha (Kiswangilishi) kama hivi ambapvyo inaonekana katika maelekezo ya majukwaa hapo mbele??
[/QUOTE]
[
[/QUOTE]
International Forum
African & International Bloggers' home. Politics, Economics & News in General. Let's exchange our views on matters arising in this globe! YES, we can!
2. Habari na Hoja mchanganyiko
Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako. Hoja binafsi pia ziwekwe hapa.
3. Jukwaa la Siasa
Tanzania & World Politics General Discussion Forum. You need to be registered in order to post your comment(s)
4. Celebrities Forum
Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa: Rais, Mawaziri, Wabunge, Wafanyabiashara wakubwa n.k (Public Figures in general) The right place for celebrity enthusiast!
[