pamoja na kuongea nae bado hukujua sio mwanamke!?job true true!
Hahahaaaaaaaaaaaaaa uwiiiii jamani jamani mbona hukunipatia huu mkasa; enhe sasa ikawaje hahaaa umenifurahisa Buji2. Nitafuteeeee
hali yangu ni njema lizzy,naona unapambana na jinsi ya kuwatambua kwa keyboard
Sisi ambao tuna pupa na uroho wa wadada wa humu ndani
:clap2::clap2:ukishaona dume linajifanya mwanamke, jua kabisa chembehai za ushoga zipo na akikutana na wataalam haponi
Kuna binti alikuwa akinieleza kuwa yuko Mombasa, kumbe ni shoga bwana, nilifunga safari hadi huko baada ya maongezi kunoga hapa JF na kwenye simu.
yak'Mimi ni mwanaume, lakini natokea hapa kama mwanamke.
yak'
kuna binti alikuwa akinieleza kuwa yuko mombasa, kumbe ni shoga bwana, nilifunga safari hadi huko baada ya maongezi kunoga hapa jf na kwenye simu.
Kuna binti alikuwa akinieleza kuwa yuko Mombasa, kumbe ni shoga bwana, nilifunga safari hadi huko baada ya maongezi kunoga hapa JF na kwenye simu.
Sauti nyororo kama ya ndege mwanana, tumechat kwenye web kam, kitu cha ukweli ile mbaya.
Nlipofika mombasa akaja kunipokea, kavaa baibui, kwa uchu nikawa namtamani.
Tulipoenda hotelini sasa, si ndio nkashangaa anatoa ky jelly kwenye hand bag yake
Kwa sisi madume ya mbegu tuna uwezo wa kujua kama unayewasiliana nae ni dume au jike. Wanawake wana namna yao ya kuongea na kuandika.
Mmmh shauri yako!! Angalia usije kulia siku moja.Kwa sisi madume ya mbegu tuna uwezo wa kujua kama unayewasiliana nae ni dume au jike. Wanawake wana namna yao ya kuongea na kuandika.
mkuu hapo umenena,naona watu wanamalizana na avatar kwa kudhani ndo uhalisia wa mtu mwisho wa siku kutakuwa na kukimbiana hapa
Ila mie mwenzenu naamini Nyamayo ni mdada!