Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Aisee hapa JF kuna waroto wazuri yaani ukiwaona tu roho yako inasuhuzika. Hata siku nikiwa na stress nafungua baadhi ya avator kuufariji moyo wangu. Baadhi ya warembo ambao wananikosha ni Valentina, Geniverous, Shunie, miss Neddy, Exceptional lady na wengineo. Ila hizi picha mlizoweka za kupendeza ni za kwenu? Hasa huyu shunie da yaani acha tu. Anae wafahamu tafadhari anidadavulie hizo picha zao ktk avator, na ww kama wanakukosha pia tia neno