JF kuna watoto wazuri

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Aisee hapa JF kuna waroto wazuri yaani ukiwaona tu roho yako inasuhuzika. Hata siku nikiwa na stress nafungua baadhi ya avator kuufariji moyo wangu. Baadhi ya warembo ambao wananikosha ni Valentina, Geniverous, Shunie, miss Neddy, Exceptional lady na wengineo. Ila hizi picha mlizoweka za kupendeza ni za kwenu? Hasa huyu shunie da yaani acha tu. Anae wafahamu tafadhari anidadavulie hizo picha zao ktk avator, na ww kama wanakukosha pia tia neno
 
Wenye avator za ke wengi wao ni wanaume na wenye avator za me wengi wao ni ke chunga sana
 
Wenye avator za ke wengi wao ni wanaume na wenye avator za me wengi wao ni ke chunga sana
  1. Duh hilo sasa bonge la soo. Ila Valentine nina uhakika ni Ke. Dah nyie wengine vipi?
 
Avator za JF na mtu halisi ni sawa na mbingu na ardhi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…