JF kurudi mapema kabla ya birthday yangu

Maombi yangu ya siku zote ilikua JF ilirudi kabla ya 5th July ili nisherehekee na family yangu ndogo ya JF. Nashukuru Max amefanikiwa kuirudisha kabla ya hiyo siku.
Wale wa zawadi naanza kupokea kuanzia leo jamani.
Hongera my...kumbe umezaliwa mwezi mmoja na mie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…