Hujatupa utaratibu zawadi zitakufikiaje?Thanks my. Ndio maa. Team July. Kesho mie ndo nazaliwa
Kwa utaratibu huo kuna nyingine utazikosa!na mimi ningependa upate zotee!Inategemea na aina ya zawadi mkuu. Kuna mpesa tigopesa na airtel money. Unatumia ipi kati ya hizo? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahaaa mafala nyie.me Msukuma?Happy birthday wifi. Ngabu aliniambia we dada ake [emoji23][emoji23]
Kwangu mwananyamala