JF member aliyeko/waliopo Dumila tutambuane

JF member aliyeko/waliopo Dumila tutambuane

shiite

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
314
Reaction score
299
kama title inavyojieleza. Kufahamiana si vibaya, tujisocialize kidogo wana jf. Muliopo Dumila, Kilosa- Morogoro tufahamiane hapa. Karibuni Mtaa wa bombani karibu na police station
 
nikija mnadani jumamosi kuuza mitumba nitakutafuta. vipi nyanya debe kiasi gani hapo dumila
 
Vita a masai na wakulima imeisha mana mlichofanya siku ile na kutuwek barabaran mkivunja guest house za wamasai hapana
 
nikija mnadani jumamosi kuuza mitumba nitakutafuta. vipi nyanya debe kiasi gani hapo dumila
sasa zinaanza kupanda bei ni 1000/= hadi 1500/=.. karibu sana
 
Vita a masai na wakulima imeisha mana mlichofanya siku ile na kutuwek barabaran mkivunja guest house za wamasai hapana
worry out mkuu...sasa hali shwari kabisa..karibu tena
 
Dumila is my hood niga/kitaa kimenikuza now am so bigger

Npo mkuu dumila moja hyooo
 
Back
Top Bottom