JF member Mshana Alitabiri Mwamposa kutowekwa Lupango

Kwani ibada ni lazima iwe na muda maalum.? Hawataweza kumtia hatiani.

Ulishaona macca wanapoenda kuhiji mashehe/mamfuti wa huko wanakamatwa inapotokea vifo vya mahujaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!
Unajua unachotetea?
Wakurochi wana uwezo mkubwa kuchanganua mambo inasadikika sababu ya samaki sasa sijui ni vituhi au mbelele.

Nahisi hujaelewa nilichoandika awali... Namaanisha siku ufahamu Wa watu ukifunguliwa ndpo wataacha kufuata hao watabiri na kujitambua hata wao wana uwezo Wa kujitabiria...
Sasa huyo mtabiri mwamposa mbona kashindwa kutabiri watu watakufa yeye si ndio mtabiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamposa ni mwenzetu na mchangiaji nzuri wa maendeleo.
 
Watu mnadhani mahakama huwa zinafunga watu tu bila utaratibu. Afungwe kwa kosa lipi?
 
Kwani ibada ni lazima iwe na muda maalum.? Hawataweza kumtia hatiani.

Ulishaona macca wanapoenda kuhiji mashehe/mamfuti wa huko wanakamatwa inapotokea vifo vya mahujaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
especially ile ibada yao ya kurusha mawe kumuua shetani, huwa wanakufa na maisha yanaendelea, kwa kifupi huyo Mwamposa hata fungwa ikizidi sana fine aende zake.

Hizo habari za kafara ni kumuachia Mungu wa kweli pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haters hawatapenda hii post ujue
Jr[emoji769]
 
Wana wanakurukia kama wote... Kaaazi kweli kweli
Kwenye uzi huu povu ruksa sana


. Siko serious na tabiri za mshana hapa ni JF lakini haijawai tokea nabii anakimbia kambi. Tena nabii anaejiita wa Mungu aliyeumba dunia

Jr[emoji769]
 
Nipo... Ni vizuri kuwa na mada kama hizi ili watu wapunguze fukuto... Inawasaidia sana... Unajua nimekuwa kama daktari wao.. Yani mtu anatumia ID bandia halafu anasema namchukia sana Mshana Jr halafu anapata like za kutosha kisha anajisikia vizuri sana anaondoka kwa furaha.. Tiba tayari
Mkuu mshana njoo utoe neno kidogo......Ni utabili, ni nguvu ya kafara au sheria? Maana naona povu jingi sana katika hii mada .

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Hajaachiwa huru bali amedhaminiwa na ataendelea kuriport polisi,ile sio murder mpk asidhaminiwe ni bailable offence yaani linadhaminika, sana sana atashtakiwa kwa kuzidisha muda wa mkutano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…