JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

Nipo wadau tatizo huku porini net hakuna kabisa nimenunua line ya halotel ndio nakamata net,nachoma mkaa huku minjingu.

Achana na Mkaa Mkuu, njoo Kiding'a tulime viazi na Kabichi! Huku tupo na King'ast japo hatuonani!
 
Last edited by a moderator:
Huyu sijui kama yupo hai, na kama yupo basi kabadili jina na staili ya kuishi humu

Katavi hahahah..... yupo bana tena kwa id yake hii hii ... we ingia tu mwanahalisiforum utamkuta kajaa tele
 
Last edited by a moderator:
Jambo sana lovely dady Watu8.... miss u sana dady ndio ugonjwa wangu mkubwa

miss u back cupcake...bora nimekuja atii ili walau upone huu ugonjwa douta
 
Last edited by a moderator:
Ina maana mie haujanimiss?

Jamani wewe upo mrembo mzuriiii?????......y aaani siyo kukumiss huku hadi nilikubali matokeo kwamba kumbe mtu anaweza fichwa hivi.......yaaani umepotea sana mdada? Habari za Maliki Tele?....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…