JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

Katika ujasiriamali kuna Kubota.
Alinipa sana chachu ya ufugaji rahisi wa kuku wa kienyeji kapotea sana
 
Namfafuta sana sana BAK jamaa alitoweka JF kabla ya uchaguzi na hadi leo sijamsikia tena. Alikua hatari sana kwa magazeti ya kidhungu yanayoikosoa Serikali. Uko wapi BAK
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…