Jf members appreciation post: Taja kitu kinachokuvutia kutoka kwa mwanajf yeyote

espy akiandika mada huwa nakaa pembeni kisha nasoma tu
sitaki kuchangia maana nitahamisha mada
huu ni upendo wa ajabu

sijawahi kupenda hivi
ukiona nimempenda mtu upendo wazaidi ya espy naombeni mniue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha nikupende tu mm anko wangu
 
Nawa appreciate woote wenye vifua na kuheshimu privacy

Wanaochangia ndani ya Mada

Na wale wasomaji vitabu kwenye ule uzi wetu

Nawakubali wale wa jukwaa LA biashara Kuna elimu kubwa kwao..

Na kubwa kabisa heshima ziwaendee wale ndugu zangu Wa kule JLW tafadhali tuimarishe umoja wetu, jukwaa lizidi kutupandisha

[emoji252] [emoji479]
 
mpwa wangu wacheka tuu
huna lengine la kuniambia
 
mpwa wangu wacheka tuu
huna lengine la kuniambia
Nakupenda anko wangu unavyompenda auntie yangu espy jamani mpendane hivyohivyo nawapenda mm [emoji8] ndio mana sikubali hii couple kuvunjika nitaitetea kwa nguvu zangu zote
 
Nakupenda anko wangu unavyompenda auntie yangu espy jamani mpendane hivyohivyo nawapenda mm [emoji8] ndio mana sikubali hii couple kuvunjika nitaitetea kwa nguvu zangu zote
Aaameeeeenn
 
Nikianza kumention siwezi kumaliza ila kila mtu ana taste yake, wapo ambao wapo conscious kila mda wanatema madini, wapo ndugu zangu ambao nikisoma michango yao lazima niongeze siku za kuishi kiukweli hawa kwa asilimia kubwa ndio wanaonifanya nisipende kukaa mbali na JF[emoji23][emoji23], bila kusahau na dada zetu wenye DP 'tata'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…