Ha ha ha Genekai hujanywa dawa ya Babu maana ukinywa ile dawa no bia, no wine, no whisky no pombe at all milele.
Ila kwa maalim nadhani ni soda tu
Labda aje nazo kichwani...hapo ni non-alcohol...juice ...maji...
Ila ngoja nisiwape utamu ...wahusika wenyewe wakimaliza ntawajuza...ila msikose jamani!!!
Utambulisho ni muhimu!
Usijali mkuu situmii kinywaji chochote chenye kilevi so hapo ni nyumbani, Ntakuja mkuu ratiba ikiruhusu, tarehe na muda ni muhimu!Michango ni kama twakuuzia!
Hapo utakunywa maji...soda aina zote...non-alcohol...juice aina kwa aina...usisahau mlo swaaafiii...sijui ungependelea nini kati ya hivyo?
Labda aje nazo kichwani...hapo ni non-alcohol...juice ...maji...
Ila ngoja nisiwape utamu ...wahusika wenyewe wakimaliza ntawajuza...ila msikose jamani!!!
Utambulisho ni muhimu!
no mama sijanywa dawa ya babu ila seriously situmii ulevi wowote. Nilitaka kujua kama ni chai au kahawa!
habari yenu JF!
Nimekua nafuatilia mambo mengi humu utaona wengi wetu tunapeana salam za upendo na tuna-enjoy sana.
Sasa nikikaribia ndoa yangu nawaalikeni mhudhurie...inshaallah ntaweka eneo maalum kwa members wa JF.
Msiniache jamani...kama mnavyochangia threads zangu pia mhudhurue!
I love uuuuuuu!
Afadhali kumbe uko kama mimi hiyo ni poa
Mkuu umenifurahisha kweli!! Kuna mmoja aliniletea card ya mchango yenye kiwango cha kuchangia! Nikamuuliza 'yaani mpendane nyie halafu muwatwange fine wengine?' Jamaa kila akiniona huwa anacheka sana japo wakati ule hakunielewa!Aoe yeye halafu tumchangie na chukia tabia ya kuchangia....
Ha ha ha !Chai kahawa na maandazi kwa sana nazijua hizo
Mkuu umenifurahisha kweli!! Kuna mmoja aliniletea kard ya mchango yenye kiwango cha kuchangia! Nikamuuliza 'yaani mpendane nyie halafu muwatwange fine wengine?' Jamaa kila akiniona huwa anacheka sana japo wakati ule hakunielewa!
KK unawatisha wenzio bana!!Wenyewe tunajiogopa wenyewe je iweje tukusanywe kwenye harusi na ktk meza moja kumeandikwa JF member!!!!!kwanza watu lazima waikimbie hiyo meza!!wakiangalia nani anaenda kukaa mpaka harusi inaisha hutakuta kakaa mtu!!!!
Ni kweli ni mtu mzima mamiimmh!
Huwa nakuimagine ni mtu mzima, una mke tayari na watoto.
Ahsante kwa mwaliko.
Ha ha ha !
Vya moto hakuna!
Uwepo ...tena utusaidie kuwapanga hawa members wa JF!
Jamani!Namwonea wivu mdada unayetarajia kufunga naye ndoa, natamani sana siku flani nije na sredi kama hii.
Nlipenda ifanyikie nje ya dar si lamu. Maana umuhim niwapate members wa JF wengi.
huo ndo undugu kushirikiana na kushirikishana.michango pia ukihitaji mm naahidi kukuchangia,na nikiwa dar na tar zikaruhusu nitafurahi kuhudhuria.habari yenu JF!
Nimekua nafuatilia mambo mengi humu utaona wengi wetu tunapeana salam za upendo na tuna-enjoy sana.
Sasa nikikaribia ndoa yangu nawaalikeni mhudhurie...inshaallah ntaweka eneo maalum kwa members wa JF.
Msiniache jamani...kama mnavyochangia threads zangu pia mhudhurue!
I love uuuuuuu!