Jf members mlioko mjengoni tunaomba yanayojiri huko tafadhali, tv hazionyeshi!

Jf members mlioko mjengoni tunaomba yanayojiri huko tafadhali, tv hazionyeshi!

potokaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Posts
540
Reaction score
493
Nadhani uwepo wa JF members katika Bunge maalum la katiba kunawapa jukumu la lutujulisha kila kinachoendelea sisi tulioko nje, vinginevyo kuanzishwa kwa sub forum hii ya KATIBA MPYA kutakuwa kumepoteza maana. Ninatamani hata sisi tulionje mawazo YETU yasikilizwe kupitia jukwaa hili kwa kupitia kwa JF members mlioko mjengoni. Nawasilisha
 
Tuanze sasa nini kinachoendelea maana naona miziki tu hapa TBC1
 
Ni channel ipi iliyopata ruhusa?, na kwa nini wamezikataza?, leo ratiba inonyeshaje?, na hicho kituo kilichoruhusiwa kitarusha, na je si kuvunja katiba iliyopo kutunyima haki ya kuona kinachoendelea juu ya mchakato huu muhimu?
 
Back
Top Bottom