Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Najiuliza sana kuhusu majina yenu memberz wa jf,yaani sijui yana asili ya wapi.Majina Ya ajabu ajabu ahahahahaha au mna kesi polisi mnaogopwa kukamatwa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiuliza sana kuhusu majina yenu memberz wa jf,yaani sijui yana asili ya wapi.Majina Ya ajabu ajabu ahahahahaha au mna kesi polisi mnaogopwa kukamatwa??
eti m2 anaitwa kongosho,mara nonda,mwanakijiji,mzizi nk. dah ts so funny! Huh
Hello Sinorita, lady and beauty!
Can we meet to Rio dejaneiro for a cup of coffee and see what happens
teh teh teh,bwana mkubwa usi panic,just 4 funny,vp kuna bandama pia? Au kongosho tu
Si unajua nyani haoni kundyleWewe mbona unajiita Deejay?
Wewe mbona unajiita Deejay?
sio kazi ndogo.kuna watu wanachungulia tu humu kwa kukosa majina ya kujiregister..some decide instantly and other take several days to conclude
Wewe mbona unajiita Deejay?
Kuficha jina ni dalili ya uhalifu.
ninawasiwasi na jina lako pia
Mi siwaogopi hao polisi ndo mana nimejitaja kwa cheo cha kazi yangu.