Jf members mna kesi??

Mh! Kiukweli majina yenu yamekaa ki-gadafi gadafi tu.Hadi mods nao! Teh teh,ILA MSINIPIGE BAN JAMANI.Ni mjadala tu
 
Jamani tumboo yupo wapi?haonekani siku hizi ati!
 
Last edited by a moderator:

Duuu naona post iliamua kujirepost automatically
 
Last edited by a moderator:
Idd Ninga shida nini kwenye kitufe chako cha kutoa LIKES? Naona panasoma zero

we acha tu,si unajua tena visimu vyetu vya kichina havina uwezo wa KULIKE kwa sababu natumia JF MOBILE Ila ka unaweza kuifahamu CODE ya kulike unaweza kunishtua
tatizo ni njia nayotumia kufika humu Jf.
 
Last edited by a moderator:
we acha tu,si unajua tena visimu vyetu vya kichina havina uwezo wa KULIKE kwa sababu natumia JF MOBILE Ila ka unaweza kuifahamu CODE ya kulike unaweza kunishtua
tatizo ni njia nayotumia kufika humu Jf.

Download JF App unakosa mengi ujue
Lakini pia ukiingia kwenye JF MOBILE kuna kitufe cha TOUCH upande wa huu kulia kiguse kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…