JF members tunafahamiana?

Mm namfahamu le mutuz na wengine baadhi ila huyo ndo nimemuna Mara kwa mara
 
Na mimi mtasema hamnifahamu kweli mkigegedana si mnaendaga kupima kama nipo kwenye miili yenu au lah mh jamani
 
Kuna mdada namfahamu..... huwa tunapandaga naye daladala mara kwa mara.......
Tukiwa kwenye foleni huzama jf nikaiona ID yake.....na comments zake humu ni kama vile anavyo ongeaga/fanana.
 
Inawezekana au ndio hali halisi mkuu.....?.....njoo Chugga uone tunavyokula bata......kila siku party........
WKEND HII NITAJARIBU KUTEMBELEA AT LEAST NA MI NIPATE MMOJA WA KUMFAHAM.KUNIELEKEZA NIPM.
 
Mkuu Ukitaka kunifahamu nipm ila mi nakufahamu ww km unabisha nkupe ushaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…