vizuri sana best,mi ntawatafuta wkend kama mtakuwepo.Unaona hawa.......
marejesho Filipo IGWE sweetlady Crashwise @lilyflower Blaki Womani PakaJimmy Mzee wa Rula Valentina LiverpoolFC Cantalisia Easymutant Loner
tupo hapa........Big L tunabadilishana mawazo........saa hii........
nimejikuta nacheka haaaaaWatu wengi huku wanamjua Le Mutuz tu!!
acha utani bibie, ina maana babu yangu kanidanganya? Njoo ninong'oneze basiIbra mbona mi sipo Florida jamani?
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]acha utani bibie, ina maana babu yangu kanidanganya? Njoo ninong'oneze basi
hii safari ya wapi tena?[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Kujifichahii safari ya wapi tena?
Usizuge, amepata na mimi nakufahamu!umenoaaaaaaa
Mimi namfahamu mmoja tu! Ila inaonekana yeye anawafahamu wengi!
Umenikumbusha kipindi cha nyuma nilivokua mgeni JFHata mimi nahitaji kuwafahamu jf member katika eneo nililopo, sijawahi kumuona wala kukutana na member yeyote wa jf.
Ha haaaMi ninamfaham mdada mmoja aliondoka na chenchi yangu tukiwa gesti.