'JF members Tunajua sana kuhamasisha behind of PC, tablet, phones but kwenda kwa ground

ZINJANTHROPAZ

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2023
Posts
287
Reaction score
470
WHY?
1. Matumizi ya nicknames ili kuficha identities zao while wa akina Maria Sarungi wakitumia taarifa zao halisi Katika account za mitandao yao katika kutema nyongo na kusema ukweli dhidi ya akina Serikali, keybody warriors wanaibuka na kuponda wengne kudharau. sasa tutachange utaratibu kupitia mods tutajuana tu.

2. Tunajua sana kuhamasisha behind of PC,TABLET, PHONES but kwenda kwa ground tunagwaya,this is for both side mana hata Mbowe aliachwa peke yake lakini wapo humu kwa forums kujifanya wanajua sana kuelezea "cowarders' af kwa ground hamna kitu ..

NB. TUACHENI UNAFIKI.
 
Una maanisha timu mwamba siyo?
 
Sio wote wana mission hiyo wengine wapo humu kutongoza mademu,wachumba,kutafuta connection na wengine just to enjoy, biashara n.k
mi sijawahi hata kufikiria kuandamana iwe ni hapa jukwaani ama nje ya jukwaa!.
Mi ni jeshi binafsi na familia yangu hizo ngazi za taifa kuna tabu sana mtanyofolewa sana vizazi mimi sipo kwa hilo kwasasa!.
 
Watanzania wote tuko hivyo.

Hata wale wa twitter (X) wengi ni keyboard warriors
 
WHY?
1. Matumizi ya nicknames ili kuficha identities zao while wa akina Maria Sarungi wakitumia taarifa zao halisi Katika account za mitandao yao katika kutema nyongo na kusema ukweli dhidi ya akina Serikali, keybody warriors wanaibuka na kuponda wengne kudharau. sasa tutachange utaratibu kupitia mods tutajuana tu.

2. Tunajua sana kuhamasisha behind of PC,TABLET, PHONES but kwenda kwa ground tunagwaya,this is for both side mana hata Mbowe aliachwa peke yake lakini wapo humu kwa forums kujifanya wanajua sana kuelezea "cowarders' af kwa ground hamna kitu ..

NB. TUACHENI UNAFIKI.
Bro au madam, achilia taarifa binafsi za kwako kwanza ili ujitoe kwenye kundi la wanafiki. Tena weka na CV yako hapa!
 
Unatokea front na mtu mwenye 'asylum protection'? Utapotea kijana. Wananchi ipo siku watatoka wenyewe majumbani bila shinikizo la wanasiasa wakiwa na ari ya kutaka mabadiliko na huo ndio utakuwa mwisho wa utawala dhalimu wa ccm.

BTW: ulimwengu umehamia kwenye digital activism, na je ni unataka id yako ijulikane ama hoja yako isikike?
 
Bora hata wanafiki wakisema kitu kinaleta mabadiliko na viongozi wanajibu 😜
 
Unatokea front na mtu mwenye 'asylum protection'? Utapotea kijana. Wananchi ipo siku watatoka wenyewe majumbani bila shinikizo la wanasiasa wakiwa na ari ya kutaka mabadiliko na huo ndio utakuwa mwisho wa utawala dhalimu wa ccm.

BTW: ulimwengu umehamia kwenye digital activism, na je ni unataka id yako ijulikane ama hoja yako isikike?
umeeleza vizuri wakati unaanza big up bro.
 
Back
Top Bottom