ZINJANTHROPAZ
JF-Expert Member
- Aug 6, 2023
- 287
- 470
Maendeleo hayana chama
WHY?
1. Matumizi ya nicknames ili kuficha identities zao while wa akina Maria Sarungi wakitumia taarifa zao halisi Katika account za mitandao yao katika kutema nyongo na kusema ukweli dhidi ya akina Serikali, keybody warriors wanaibuka na kuponda wengne kudharau. sasa tutachange utaratibu kupitia mods tutajuana tu.
2. Tunajua sana kuhamasisha behind of PC,TABLET, PHONES but kwenda kwa ground tunagwaya,this is for both side mana hata Mbowe aliachwa peke yake lakini wapo humu kwa forums kujifanya wanajua sana kuelezea "cowarders' af kwa ground hamna kitu ..
NB. TUACHENI UNAFIKI.
Bro au madam, achilia taarifa binafsi za kwako kwanza ili ujitoe kwenye kundi la wanafiki. Tena weka na CV yako hapa!WHY?
1. Matumizi ya nicknames ili kuficha identities zao while wa akina Maria Sarungi wakitumia taarifa zao halisi Katika account za mitandao yao katika kutema nyongo na kusema ukweli dhidi ya akina Serikali, keybody warriors wanaibuka na kuponda wengne kudharau. sasa tutachange utaratibu kupitia mods tutajuana tu.
2. Tunajua sana kuhamasisha behind of PC,TABLET, PHONES but kwenda kwa ground tunagwaya,this is for both side mana hata Mbowe aliachwa peke yake lakini wapo humu kwa forums kujifanya wanajua sana kuelezea "cowarders' af kwa ground hamna kitu ..
NB. TUACHENI UNAFIKI.
Expert nimeipenda hiiBro au madam, achilia taarifa binafsi za kwako kwanza ili ujitoe kwenye kundi la wanafiki. Tena weka na CV yako hapa!
hahahahah ,kvp wakati mm ni zinjathropaz na sura yangu iko waz kbsa.Inashangaza kuona mtoa malalamiko mwenyewe naye anatumia ID fake!
umeeleza vizuri wakati unaanza big up bro.Unatokea front na mtu mwenye 'asylum protection'? Utapotea kijana. Wananchi ipo siku watatoka wenyewe majumbani bila shinikizo la wanasiasa wakiwa na ari ya kutaka mabadiliko na huo ndio utakuwa mwisho wa utawala dhalimu wa ccm.
BTW: ulimwengu umehamia kwenye digital activism, na je ni unataka id yako ijulikane ama hoja yako isikike?
ni kweli kaka siasa hazitupendezi tuendelee ku bet tu no way..Watanzania wote tuko hivyo.
Hata wale wa twitter (X) wengi ni keyboard warriors
Na siasa ndivyo ilivyo hasa hizi nchi za ulimwengu wa tatu.Kwenye siasa wengi ni hivyo.