mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
Future members wa forum hii [ambayo kwa sasa inaitwa Jamii forums]
Enyi mtakaojaaliwa kuishi miaka hii ya 2090.
Mjue tu, namimi
◇Nilizaliwa nikiwa kitoto kichanga
◇Nikakuzwa na wazazi hata kufikia utu uzima
◇Nami nikajaliwa uzao wangu
Hata sasa 25/10/2024 wakati nachora ujumbe huu namshukuru mja kwa maajaliwa yote.
Tambueni tu NILIKUWEPO katika ulimwengu huu.