mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
Vipi mkuu..uko salama?Future members wa forum hii [ambayo kwa sasa inaitwa Jamii forums]
Enyi mtakaojaaliwa kuishi miaka hii ya 2090.
Mjue tu, namimi
◇Nilizaliwa nikiwa kitoto kichanga
◇Nikakuzwa na wazazi hata kufikia utu uzima
◇Nami nikajaliwa uzao wangu
Hata sasa 25/10/2024 wakati nachora ujumbe huu namshukuru mja kwa maajaliwa yote.
Tambueni tu NILIKUWEPO katika ulimwengu huu.
Usishangae mkuu 2090 wote tutakuwa takwimu tuVipi mkuu..uko salama?
Hiki kiingereza umeiba wapi wewe?p didy like your thread..
umenifundisha wewe mwenyewe!Hiki kiingereza umeiba wapi wewe?
mmh kukwiba tena?Hiki kiingereza umeiba wapi wewe?
hauna haja kuwa mnyonge. hii dunia waliiishi wenzetu wengine maelfu au mamilioni ya miaka lakini hawapo tena. wote walikufa. ndivo itakavyokuwa hata kwa sisi pia. be humble. dunia tunapita tu.Ukifikiria maisha kwamba hapa tunapita tu,na huko nyuma walikuwepo watu kabla yetu…..Naishiwa nguvu kabisaa