JF Members

Lazima nimchunguze my wife, may be yupo ndani ya jf.
 
mi thina!! wangu ni wale wa kununua, thijui km wamejiunga jf.
 

huu wasiwasi unasababishwa na nini? Is JF a criminal thing hata muwe mnafichana?
 
ndio utajua sasa......hi hi hi....unachorekaje....
Umenikwaza kumbe hata saa nyingine ya wezekana na chat na mzee??ehee ajajajajaja!!nimekoma lol!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…