JF Miss CHITCHAT 2012: VOTE for CHARMINGLADY

Baada ya kutoka uwanja wa Taifa ambako tumewalaza Zambia(Chipolopolo),sasa nimerejea hapa....
Wangapi bado hamjampa kura zenu charminglady? Kama bado fanya hivyo sasa!
 
mmm? watu8 unatisha nashanga nimekatiza mitaa flan humu ndani nikakuta eti C6 amekata tamaa anamkapenia mtu tofaut na mkewe cl at ndo ilisha vunjika maana chitchat kuona na kupigana chin ndio mpango

C6 ni mkwe na charminglady ni binti wa kwanza wa mimi....Sasa piga kura yako kwa CL sasa...mahesabu na tathimini baadae....
 
Last edited by a moderator:
ndetichia si nilishaachana na malumbano
Hebu mpigie charminglady faster

Shukrani mkuu, nadhani nawe utakuwa ushabofya kumpigia CL...kura yako ni muhimu sanaaaa....washtue na wazee wa Matejoo, Kimandolu hapo Soweto, Kaloleni na kule Burka piga kuraaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Poll ile ya kisasa sana hata ukipga kura haionekani nimeshapiga kura lakini

Shukrani sana best, ukikutana na Asprin mkumbushe naye kubofya kura moja tu kwa CL....
 
Last edited by a moderator:
watu8;5282700]
kumtafuta Miss Chitchat 2012 ndio hayo yameanza rasmi.
Pasipo kupoteza muda wako, hakikisha kura yako inaenda kwa charminglady

WanaJF marafiki wa familia ya watu8 na measkron, kwa heshima ninayowapa ninaomba kra zenu mzielekeze kwa binti yangu wa kwanza.

INGIA HAPA KUPIGA KURA

CC:
PakaJimmy, Mungi, zomba, Filipo nitonye Mamzalendo, marejesho Erickb52, Arushaone, Mamndenyi, Bishanga, Dena Amsi, Mr Rocky , Lily Flower, mwaJ snowhite sweetlady, measkron, HYGEIA Husninyo, AshaDii, The Boss, Mphamvu, Paloma, zubedayo_mchuzi, Ruttashobolwa, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Kaunga, Smile, platozoom, ndetichia, BADILI TABIA, BAK Asprin Mtambuzi Rejao, Mbuzi Mzee, Nicas Mtei, Dark City, Mzee wa Rula, Kijino, nivea, giLESi, mary hunbig, stevoh, LiverpoolFC , Bigirita , Bujibuji , amu , MadameX , ladyfurahia , Suprise , Young Master , Kaunga , Zion Daughter , Jiwe Linaloishi , Zinduna , kyanaKyoMuhaya , lara 1 , Mtambuzi , Kabakabana, Preta, MziziMkavu na wengineo mje hapa mumpigie kura [MENTION=86898][/MENTI
 
Last edited by a moderator:
watu8;5282700]
kumtafuta Miss Chitchat 2012 Pasipo kupoteza muda wako, hakikisha kura yako inaenda kwa charminglady

WanaJF marafiki wa familia ya watu8 na measkron, kwa heshima ninayowapa ninaomba kra zenu mzielekeze kwa binti yangu wa kwanza.

INGIA HAPA KUPIGA KURA

CC:
PakaJimmy, Mungi, zomba, Filipo nitonye Mamzalendo, marejesho Erickb52, Arushaone, Mamndenyi, Bishanga, Dena Amsi, Mr Rocky , Lily Flower, mwaJ snowhite sweetlady, measkron, HYGEIA Husninyo, AshaDii, The Boss, Mphamvu, Paloma, zubedayo_mchuzi, Ruttashobolwa, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Kaunga, Smile, platozoom, ndetichia, BADILI TABIA, BAK Asprin Mtambuzi Rejao, Mbuzi Mzee, Nicas Mtei, Dark City, Mzee wa Rula, Kijino, nivea, giLESi, mary hunbig, stevoh, LiverpoolFC , Bigirita , Bujibuji , amu , MadameX , ladyfurahia , Suprise , Young Master , Kaunga , Zion Daughter , Jiwe Linaloishi , Zinduna , kyanaKyoMuhaya , lara 1 , Mtambuzi , Kabakabana, Preta, MziziMkavu na wengineo mje hapa mumpigie kura [MENTION=86898][/MENTI
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona unaleta fitna....???

Last edited by a moderator:
Shukrani mkuu, nadhani nawe utakuwa ushabofya kumpigia CL...kura yako ni muhimu sanaaaa....washtue na wazee wa Matejoo, Kimandolu hapo Soweto, Kaloleni na kule Burka piga kuraaaaa.
Mi tayari aisee kumbe siruhusiwi kubofya mara mbili lol
 
yaani mkuu watu8 umeamua kabisa nakutengeneza digital poster for CL safi kweli mapenzi ni maradhi leo hilo naamini..

Vote for miss CC 2012..
wewe ndetichia, huyu ni baba mtoto tafadhali, halafu wewe hubu nkapie kura muna mae naone ushindi..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…