LENGO LETU NI charminglady afike zaidi ya 50%.Kwa msaada wa Mungu tutaweza na kwa kura yako tutafikia LENGO.
Pamoja Tunaweza!!
Muda unaendelea kuwadia wa kumpata JF Miss Chit-chat 2012.
1. Wadau wote mnaombwa kwa moyo wa dhati kuendelea kupiga kura...
2. Mimi kama meneja wa kampeni naendelea kuandaa hotuba ya ushindi wa charminglady, maana hadi sasa tunaongoza kwa tofauti kubwa.
siku hizi mambo yamebadilika mjengoni humu sio kama nyuma tulikotoka sie
Kitambo sanasiku hizi mambo yamebadilika mjengoni humu sio kama nyuma tulikotoka sie