JF Msaada: Avatar issue

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,852
Kwa anayefahamu jinsi ya kuweka avatar inayochezacheza kutoka kwenye website na kuisave kwenye desktop na iendelee kucheza hivyo hivyo anifahamishe tafadhali, kila nikijaribu inagoma. thx in advance
 
mkuu ngoma imedonti nimedownload zote hizo bado hazichezi
 
wasiliana na SteveD na ukishindwa wasiliana na Invisible...ila leo SteveD sijamuona jamvini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…