JF msaada: How to quote?

Kimey

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2009
Posts
4,117
Reaction score
833
Wakuu heshima mbele!! Kuuliza si ujinga!! Naomba kujuzwa jinsi ya Ku quote post za watu zaidi ya mmoja pale unapotaka ku reply post!! nimeona kuna wataalamu hapa waki quote watu zaidi ya mmoja na ku reply post!! maana kuna wakati nakua na interest ya ku quote wachangiaji zaidi ya mmoja then ni reply katika post moja! Naombeni mwongozo wenu!!
 

Pole kwa kusubiria muda mrefu bila jibu.

Kwenye kila post ya member mwingine (siyo wewe) kwa chini kuna vitufe vya {Quote: Multi off: Quick Reply na Thanks}. Kwenye post yako mwenyewe, kitufe cha Edit kinaongezeka.

Kulingana na jinsi unavyotaka kuwapangilia wale unaowanukuhu, bonyeza kitufe cha Multi Off katika mpangangilio wa nukuhu unavyokusudia. Kwa kila post ya mtu unayobonyeza, kitufe kinabadilika na kuwa Multi On.

Basi ukishafanya hivyo, scroll mpaka chini karibia na ile Quick Reply editing window, kwa juu yake katikati ya post ya mwisho katika ukurasa huo na pale Tags zilipo kuna kitufe kingine cha Post Reply. Bonyeza hicho kitufe ili kwenda kwenye Advanced Editing window/panel. Huko utakutana na post zote ulizochagua kuzinukuu kwa kutumia Multi Quote zikiwa zimejipanga kwa jinsi ulivyozichagua. Baada ya hapo kilichobakia ni hoja zako tu na kuendeleza u-great thinker wako!! πŸ™‚

NB: Unaweza pia uka skip process yote ya ku-scroll mpaka chini kutafuta Post Reply button kwa kubonyeza kitufe cha Quote kwenye mojawapo ya mabandiko yoyote uliyoamua ku-multi quote.

Kazi njema.
 

Yah please people!!

Kumbe wako wengi hawa!

Haya huU hapa ni mfano wa mnachotaka nadhani...SteveD AameELEZA YOTE HAPO , HAKUNA CHA KUONGEZA..NADHANI MTAWEZA SASA!
 
Kumbe wako wengi hawa!

Haya huU hapa ni mfano wa mnachotaka nadhani...SteveD AameELEZA YOTE HAPO , HAKUNA CHA KUONGEZA..NADHANI MTAWEZA SASA!
kuna mwingine aliuliza maana ya kum-pm mtu!lol.....!hawa computer literate wa kipindi hichi wana matatizoπŸ™‚
 
kuna mwingine aliuliza maana ya kum-pm mtu!lol.....!hawa computer literate wa kipindi hichi wana matatizoπŸ™‚

Kumbe wako wengi hawa!

Haya huU hapa ni mfano wa mnachotaka nadhani...SteveD AameELEZA YOTE HAPO , HAKUNA CHA KUONGEZA..NADHANI MTAWEZA SASA!

Nimekugongea senksi ujue


asante kwa msaada wenu!
 
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=zOmHVDsdWKw[/ame]

SteveD thank you....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…